top of page

Anipenda Mwokozi Yesu

Baba yetu aliye mbinguni Amenifurahisha yakini Kuniambia mwake chuoni Ya kuwa nami Yesu pendoni Anipenda Mwokozi Yesu Anipenda, anipenda Anipenda Mwokozi Yesu Anipenda mimi Nimwachapo kutanga mbali Yeye yu vivyo hupenda kweli Hunirejeza kwake moyoni Kweli yu nami Yesu pendoni Anipenda Mwokozi Yesu Anipenda, anipenda Anipenda Mwokozi Yesu Anipenda mimi Anipenda! nami nampenda Kwa wokovu alionitenda Akanifia msalabani Kwa kua nami Yesu pendoni Anipenda Mwokozi Yesu Anipenda, anipenda Anipenda Mwokozi Yesu Anipenda mimi Haya kujua yanipa raha Kumwamini kuna furaha Humfukuza mara shetani Kwona yu nami Yesu pendoni Anipenda Mwokozi Yesu Anipenda, anipenda Anipenda Mwokozi Yesu Anipenda mimi Sifa ni nyingi asifiwazo Moja ni sana katika hizo Wala siachi hata mbinguni Kwimba " Yu nami Yesu pendoni " Anipenda Mwokozi Yesu Anipenda, anipenda Anipenda Mwokozi Yesu Anipenda mimi

87 views0 comments

Comentários

Avaliado com 0 de 5 estrelas.
Ainda sem avaliações

Adicione uma avaliação
bottom of page