top of page

Anayekula Mwili Wako



1. Anayekula mwili wangu, na anywaye damu yangu, Anaishi ndani yangu, 'ye hatakufa milele

Yesu wangu nakuomba, nishibishe na mwilio, Nayo damu yako ninywe, japo sistahili mimi


2. Ndani yangu Mwokozi yumo kwa mwili na damu yake, Ni rafiki yangu kweli nami sitamwacha kamwe


3. Alikuja kutuokoa, tuliokuwa dhambini, Kwa kifo chake msalabani, naye katupa uzima


4. Yesu wangu unibariki, nifundishe njia zako, Nipe moyo wa shukrani, nitembee nawe leo

15 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page