top of page

Anakuja Mwenye Enzi



Anakuja mwenye enzi Bwana mfalme Wanadamu kutukomboa Anakuja kututoa utumwani Wanadamu kutukomboa (Bwana mfalme, anakuja kwetu Anakuja anakuja anakuja kwetu) x2

  1. Anakuja andaeni njia yake Tayarisha mapito yake Nasi kweli tukamlaki ndiye mkuu Ni mwanga wetu duniani

  2. Anakuja kwa ajili yetu sisi Anatuletea wokovu Ni masiha hivyo nasi tumngojee Tumaini la wanadamu

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page