top of page

Amri Mpya Nawapa

Amri mpya nawapa, nawapa mpendane, Amri mpya nawapa, nawapa mpendane, {Kama vile nilivyowapenda ninyi Kama vile nilivyowapenda ninyi mpendane vivyo hivyo x2

  1. Wala hakuna aliye na upendo mwingi kuliko huu wa mtu kutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake

  2. Kama vile Baba alivyonipenda na nilivuyowapenda ninyi kaeni katika pendo, kaeni katika pendo langu

  3. Nimewaambia haya ili furaha yangu iwe ndani yenu, nayo furaha yenu furaha yenu itimizwe

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page