top of page

Amezaliwa Yesu

1. Amezaliwa Yesu – Tuimbe Aleluya Ni mwana wake Mungu-tumbe Aleluya

Aleluya Mwokozi wa dunia Aleluya Kashuka kwetu sisi Amezaliwa Yesu tuimbe aleluya

2. Amezaliwa mjumbewa shauri kuu la Mungu-

3. Uzima wake Baba-umetujia Leo-

4. Mipaka ya dunia ione usalama-

5. Malaika waliimba kwa shangwe na furaha-

6. Utukufu kwa Mungu amani duniani-

7. Pamoja nao nasi tuende kumwabudu-

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page