top of page

Alifufuka kwa Tetemeko

Aliyemsaliti Bwana ( hukumiwa) ndiye Yuda (ndiye Yuda ) hukumuni ole wako

Wamsulubisha Yesu msalabani, wampiga mijeledi, Petero sitakuacha Bwana Yesu ee Bwana usiniache (kweli)


Alifufuka kwa tetemeko, Malaika walimshukia, amefufuka, na imekwisha, shangilieni, tumwimbie Bwana.


Kulikuwa na giza kweli, ( amefariki ) ndiye Yesu (ndiye Yesu) Bwana wangu waniacha, kulikuwa na giza la kutisha, taji miiba kichwani, kama ilivyoandikwa imekwisha, alimaliza yote ( kweli)


Kwa imani ya wanadamu, (atarudi), ndiye Bwana (ndiye Bwana), ameketi kwake Baba, anatutengenezea pa kuishi, tutafurahi pamoja, maisha ya Kristu ya pendeza kweli tumshangili Yesu (kweli).

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page