Aleluya tuimbe (Bwana amezaliwa) kazaliwa naye bikira mwema. Aleluya Bwana kazaliwa kweli tuimbe Aleluya. x2
1. Mwokozi kazaliwa kwenye zizi la ng’ombe (Aleluya Bwana kazaliwa kweli tuimbe aleluya)
2. Ahadi ya timia Mwokozi kazaliwa (kazaliwa ilivyosemwa kweli tuimbe aleluya
3. Tuimbe Aaleluya tuimbe na mitume )kweli Bwana amekuja kwetu Masiya wetu aleluya.
4. Sote tumshangilie Masiya kazaliwa (sisi wote tumshangilie Masiya wetu aleluya.
Коментарі