top of page


Mvua inarutubisha vitu vyote Mvua inarutubisha vitu vyote he! he! he! he! he! (vitu vyote) he! he! he! he! he! vitu vyo-te x2 Mimea inastawi kwa kupata mvua nasi binadamu tunakula na kushiba milele binadamu tunakula na kushiba kwa uweza wa Mungu x2

  1. Tunapata mazao mengi kutokana na mvua, tunakula na kushiba kwa uwezo wa Mungu

  2. Tunapata chakula kingi kutokana na mvua, tunakula na kushiba kwa uwezo wa Mungu

  3. Tunapumua na kusema kwa uwezo wa Mungu,tunaimba na kucheza kwa uwezo wa Mungu

11 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page