Welcome to our website you can find all the lesson notes and hymnals you need. Our team of professionals has carefully curated a collection of resources to help you in your spiritual journey. Browse through our selection and find what need to enhance your worship experience.
Ona Mnavyopendeza
Ona mnavyopendeza, ona mnavyometameta x2 Wapenzi wana harusi mwende mkaishi salama x 2 Kwenye maisha ya ndoa, kuna raha pia tabu, mkiishi...
Nitukenere Muhiki
Nitukenere muhiki na tukenere muhikania Aaaa iii haiya ciana citu riu nimwatuika muthuri na mutumia wake Rubaru nirwaunikire na rugikirwo...
Nasikia Kelele na Vigelegele
Nasikia kelele na vigelegele nauliza kwani kuna nini (leo). Nawaona walio na mavazi mazuri wanavyotembea kwa mariongo tele (leo). Ni...
Ngemi Ciumaga Naku
(Ngemi ciumaga naku ii, ngemi ciumaga na mucii, wega umaga na mucii) x2 Mucii niguo gitugi ii- namaa, Giaguaka kanitha - uiyaa Na...
Mungu Baba
Mungu Baba mwenye mema yote harusi ya wenzetu ubariki. Mbele zako wawe watu wema, wenyewe wajipende kwa vitendo. (Wenyewe wajipende kwa...
Mke Wako Atakuwa
Mke wako atakuwa kama mti wa mzabibu, (wenye kuzaa matunda ndani ya nyumba yako) x2 Mke wako atakuwa kama mzabibu, wenye kuzaa matunda...
Pingu za Maisha
Pingu za maisha leo mmeshazifunga x2 Sasa ilobaki, ndoa yenu kuitunza x2 Muitunze ndoa yenu isijevunjika, ndoa yenu isijevunjika Muitunze...
Ondoka Ewe Bwana Harusi
Ondoka ewe bwana harusi, tembea wakuone, Ondika ewe bibi harusi, tembea kwa maringo, Njoo kwangu nikueleze, neno moja toka moyoni mwangu....
Pambo La Moyo
Nimezunguka sana dunia hii, kulitafuta pambo hili pambo la moyo wangu nimelipata, nimempata mke mwema Iye lele iye lele vigelegele,...
Nitukenere Muhiki
1. Nitukenere muhiki, na tukenere muhikania Aaii, ii, (haya), Ciana ciitu riu nimwatukia, muthuuri na mutumia wake. 2. Rubaru...
Ni Harusi Leo
1a. Nasikia kelele na vigelegele nauliza kweli kuna nini (leo) b. Nawaona walio na mavazi mazuri wanavyotembea kwa maringo (leo) Ni...
Natazama Mawinguni
1. Natazama mawinguni, nyota kweli zanawiri, na baraka zake Mungu zinatiririka x2 Sop: Harusi All: Tushangilieni Sop: ...