Welcome to our website you can find all the lesson notes and hymnals you need. Our team of professionals has carefully curated a collection of resources to help you in your spiritual journey. Browse through our selection and find what need to enhance your worship experience.
Tumwabudu Yesu Katika Msalaba
Tumwabudu Yesu katika msalaba, Tupige magoti kwa heshima na toba Twende tunyenyekee mbele ya msalaba Tumwabudu mwana wake Baba yeye aliye...
Ingawa Hakutenda Jeuri
Ingawa hakutenda jeuri kinywani mwake hapakuwa na hila, lakini Bwana aliridhika kumchukua amemhuzunisha x2 Kama mzizi katika nchi kavu,...
Baba Yangu Ikiwa Haiwezekani
Baba yangu ikiwa haiwezekani x2 Kikombe hiki Baba kiniepuke (nisipokunywa Baba mapenzi yako Baba yatimizwe) x2 Nimekukimbilia...
Kabila Langu
Kabila langu nimekutendea nini? au nimekusikitisha nini nijibu, nijibu Ee kabila langu Ilinipasa kukutendea nini zaidi nisikutendee...
Msalabani Yesu Alilia
Msalabani Yesu alilia Mungu wangu mbona waniacha x2 Makuhani walifurahi Bwana Yesu alipokufa Watu wengi walisema Maneno mengi yasiyofaa...
The Way of the Cross
OPENING PRAYER Mary, my Mother, you were the first to live the way of the cross. You felt every pain and every humiliation. You were...
Tumwangalie Mkombozi
Tumwangalie Mkombozi, akitundikwa msabani, tutataambua upenzi, aliotupenda moyoni. Twimbe twimbe jamani: Salaam Yesu msalabani x2...
Utukufu wa Msalaba
Kwa ishara ya msalaba tuokoe x2 1. Utukukfu wa msalaba twaadhimu, wa msalaba wake Yesu, ulio uzima na fahari yetu, 2. Utukufu wa msalaba...
Njia ya Msalaba
Tufwate njia ya msalaba, tuifwate mpaka kalvario, tusimamepo bila haya. (msalaba) msalaba uponya roho x2 1. Umekosa nini we Yesu,...
Nchi Inazizima
Yuda akarudi, chukua fedha zenu huyu ni mwema,Pilato akakiri, hana kosa lakini kamuueni, kainuliwa mtupu kajeruhiwa sana, amekata roho,...
Mama Pale Msalabani
Mama pale msalabani, macho yatoka machozi, akimwona Mwanaex2 Kweli vile akilia, uchungu kama upanga,ukampenya moyowe x2 Mwenye moyo mgumu...
Kwenye Mlima wa Mizeituni
Kwenye mlima wa mizeituni, Yesu aliona huzuni, jasho nyingi, ilimtoka Bwana, kama matone ya damu. Kajitupa chini akasali, akasema kwa...
Kuteswa Kwake Bwana
1.Kuteswa kwake Bwana, kulinipa wakovu, siachi kumwimbia pote niendapo x 2 Aliyeniokoa– ni Yesu; aliyevumilia –mateso aliyemwaga damu –...
Kristu Ametii kwa Ajili Yetu
Kristu ametii kwa ajili yetu hata kufa, kufa msalabani 1. Muwe na msimamo ule ule / aliokuwa nao Kristu Yesu. 2. Yeye kwa asili / alikuwa...
Kilio Cha Yesu
1. Yesu alilia eloi, kwa uchungu mwingi sana, pale msalabani eloi eloi, walimtesa sana Yesu. Twahuzunika, twafedheheka, twagadhabika...
Maneno saba ya Msalabani
Natumwimbie, Mwana Kondoo msalabani, na tumwimbie kwani aishi milele x 2 Maneno saba ya msalabani, inafaa sana tuyafuate, Mwokozi...
Mikononi Mwako
Ee Bwana mikononi mwako naiweka roho yangu x 2 1. Nimekukimbilia wewe Bwana (nisiabike milele) 2. Mikononi mwako naiweka roho yangu...
Msalabani
Msalabani (msalabani) Yesu alilia Mungu wangu (Mungu wangu) mbona waniacha x2 1. Makuhani walifurahi Bwana Yesu alipokufa, watu...
Nakujia ni Mwenye Dhambi
1. Nakujia ni mwenye dhambi, nipokee kwa pendo lako x2 Yesu- nimechoka nazo dhambi (Bwana) 2.Ulikufa msalabani, ukateswa na wayahudi x2...
Kabila Langu
Kabila langu nimekutendea nini (mimi) x2 Nimetenda nini nijibu x2 Nilikupanda kama shamba la mzabibu na wewe umekuwa mchungu sana....
Juu ya Mlima Kalvari
1.Juu ya mlima kalvari ,Mwokozi alisulubiwa kwa ajili ya dhambi zetu yesu alihukumiwa (aa)x2 (Mwokozi wangu wa rehema unikumbuke nami...