Leo kanisa linawakumbuka watoto mashahidi, ambao waliuwawa kwa amri ya mfalme Herode.
Katika Mathayo 2:16 na kuendelea tunaona ghadhabu za mfalme Herode, zilivyoleta kilio na misiba, katika Bethlehem na miji iliyo jirani.Watoto wengi walikufa .
Katika kanisa , kumbukumbu ya watoto mashahidi ilianza kufanyika mwaka 485.
Watakatifu wengine wa leo ni
Mt. Anthony
Mt. Caesarius
Mt. Castor
Mt. Domnio
Wt. Eutychius na Domitian
Wt. Romulus na Conindrus
Mt. Troadius
Watakatifu Watoto Mashahidi, Wenye Heri Na Watakatifu Wengine Wote Wa Leo, Mtuombee...