Mtakatifu Peter alizaliwa Imola, Bologna huko Italia, mwaka 380. Akabatizwa na Askofu Cornelius wa Imola.Akasoma na kuwa shemasi.
Mwaka 433 aliteuliwa na Papa Sixtus III kuwa Askofu wa Ravenna Watu walimtambua na kumpenda mapema kutokana na mahubiri na mafundisho yake.
Alifundisha kuhusu msamaha, katika njia nyepesi, na mafundisho yake pamoja na mahubiri yake yalikusanywa, na kuendelea kutumika hata baada ya kufa kwake.
Mtakatifu Peter alikufa mwaka 450 Julai 31 ,huko Imola, Bologna - Italia.Mwaka 1729 alitangazwa kuwa mwalimu wa kanisa
Watakatifu wengine wa leo ni
Mt. Abdon
M/h. Edward Powell
Mt. Ermengytha
M/h. Everard Hanse
Mt. Hatebrand
Mt. Julitta
M/h. Maria Vicenta
Mt. Maxima
Mt. Olaf wa Sweden
Mt. Rheticus
M/h. Richard Featherstone
Mt. Rufinus wa Assisi
Mt. Tatwine
M/h. Thomas Abel
Mt. Ursus wa Auxerre
Mtakatifu Peter Chrysologus, Wenyeheri Na Watakatifu Wengine Wa Leo, Mtuombee...