Mtakatifu Ida alizaliwa mwaka 480 huko County Waterford, Ireland. Alibatizwa na kuitwa Deirdre, akakulia katika mji wa Drum, County Waterford. Alipenda na kuamua kuishi akiwa Bikira na mtawa.Alipata ruhusa ya wazazi wake kuishi hivyo, na akaamia mji wa Killeedy, na akaanzisha jumuia ya wanawake wacha Mungu. Alianzisha pia shule ya wavulana, ambapo alisoma pia mtakatifu Brendan. Mtakatifu Ida alikuwa na karama mbalimbali, na pia miujiza kadhaa ilifanyika kupitia kwake.
Mtakatifu Ida alikufa mwaka 570 Januari 15, huko Killeedy, Ireland.
Watakatifu wengine wa leo ni
Mt. Paul mkaa pweke
Mt. Arnold Jansen
Mt. Beauch (Bagug)
Mt. Blaithmaic
Mt. Bonitus
Mt. Ceolwulf wa Northumbria
Mt. Emebert
Mt. Ephysius
Mt. Eugyppius
M/h. Frances de Capillas
Mt. Francisco Fernandez de Capillas
Mt. John Calabytes
Wt. Liewellyn na Gwrnerth
Mt. Lleudadd
Mt. Macarius mkuu
Mt. Malard
Wt. Maura na Britta
Mt. Maximus wa Nola
Mt. Nina
M/h. Peter wa Castelnau
Mt. Sawl
Mt. Secundina
Mt. Tarsicia
Mt. Teath
Mtakatifu Ida, Wenye Heri Na Watakatifu Wengine Wa Leo, Mtuombee....