Mtakatifu Fabian, alikuwa mkristo, ambaye alienda mjini Roma siku ambayo kulikuwa na uchaguzi wa Papa. Njiwa aliruka na kutua katika kichwa cha mtakatifu Fabian.Watu wote wakachukulia kuwa ni ishara kuwa Fabian amechaguliwa kuwa Papa.
Hiyo ilikuwa 10 January 236, ndipo alipoanza kufanya kazi kama Papa mpaka 20 January 250.
Mwaka 250, tarehe 20 Januari madhulumu kwa wakristo yalipoanza , chini ya Decius, mtakatifu Fabian alikataa kufanya mambo ambayo ni kinyume na imani yake ya kikatoliki. akauwawa. Mtakatifu Fabian alizikwa katika makaburi ya Roma
Watakatifu wengine wa leo ni
Mt. Abadios
M/h. Cyprian Michael Iwene Tansi
Mt. Eustochium Calafato
Mt. Euthymius
Mt. Fechin
Mt. Maurus
Mt. Molagga
Mt. Neophytus
Mt. Sebastian shahidi
Mtakatifu Fabian, Wenye Heri Na Watakatifu Wengine Wote Wa Leo, Mtuombee....