Mtakatifu Emerentiana, alikuwa ndugu wa Mtakatifu Agnes. Mama yake Emerentiana, ndiye aliyemlea Mtakatifu Agnes.
Baada ya Mtakatifu Agnes kuuwawa, Mtakatifu Emerentiana ambaye wakati huo alikuwa Mkatekumeni, alienda kusali katika kaburi la Agnes.Hapo alikutwa na wapagani ambao walikamata na kumtaka aikane imani yake.Alipokataa , alipigwa mawe hadi kufa.
Watakatifu Wengine wa leo ni
Mt. Ildephonsus
Mt. Abakuh
Mt. Agathangelus
Mt. Amasius
Mt. Asclas
Mt. Barnard
Mt. Colman wa Lismore
Mt. Eusebius
M/h. Henry Suso
Mt. John
Mt. Luthfild
Mt. Maimbod
Mt. Marianne Cope
Mt. Ormond
Mt. Parmenas
Wt. Severian na Aquila
Mtakatifu Emerentiana, Wenyeheri Na Watakatifu Wengine Wote Wa Leo, Mtuombee....