Mtakatifu Catherine Laboure, alizaliwa huko Fain-les-Moutiers, Cote-d'Or, Ufaransa , mwaka 1806 May 2.
Aliingia katika shirika la watawa (Daughters of Charity) akiwa na umri mdogo.Katika mwaka 1830 alipata alitokewa na Bikira Maria mara tatu. Mama Maria alimwambia mambo mbalimbali ambayo yote yalitokea.
Kwa kipindi cha zaidi ya miaka 45, mtakatifu Catherine hakumwambia mtu yeyote zaidi ya Padri Aladel, ambaye alikuwa mshauri wake wa kiroho. Na baadae akawaambia wakubwa zake kuhusu miujiza hiyo.
Mtakatifu Catherine alikufa mwaka 1876 December 31 , huko Enghien-les-Bains, Ufaransa. Akatangazwa mwenye heri 1933 May 28 na Papa Pius XI. 1Akatangazwa mtakatifu mwaka 1947 Julai 27 na Papa Pius XII
Watakatifu wengine wa leo ni
Mt. AndrewTrong
Mt. Fionnchu
Mt. Hippolytus
Mt. James wa Marches
M/h. James Thompson
Mt. Papinianus
Mt. Rufus na wenzake
Mt. Valerian
Mtakatifu Catherine, Wenyeheri Na Watakatifu Wengine Wote Wa Leo, Mtuombee.