Yatosha
Yatosha sasa mahangaiko haya, yatosha, mapigo ni mengi mno. Yatosha sasa mateso makali haya, yatosha kabisa, yatosha mno. Ee Mungu tazama...
Welcome to our website you can find all the lesson notes and hymnals you need. Our team of professionals has carefully curated a collection of resources to help you in your spiritual journey. Browse through our selection and find what need to enhance your worship experience.
Yatosha sasa mahangaiko haya, yatosha, mapigo ni mengi mno. Yatosha sasa mateso makali haya, yatosha kabisa, yatosha mno. Ee Mungu tazama...
Yesu kapita Samaria, Wagonjwa kumi wakamuona Wakiwa mbali wakamuita, Mwalimu Yesu tuhurumie (Yesu - Mnazareti tuhurumie Yesu - Mwenye...
Mimi si mkamilifu ni mwanadamu, nawe si mkamilifu ni mwanadamu. Mbona tunakoseana twaumizana lakini tusikubali kuchukiana (njoo) Amani ni...
1. Tulisikia sifa zake to-ka kwa vizazi vya kale, zimedumu tangu na tangu na hata sasa zinaishi Tunamuona kila siku akibariki watu kila...
When peace, like a river, attendeth my way, When sorrows like sea billows roll; Whatever my lot, Thou hast taught me to say, It is well,...
Ni nani aliye Mungu, Mungu ila Bwana Ni nani aliye mwamba, mwamba ila Mungu (Ni Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu aha! ni Mungu...
1. Shetani ashindwe ashindwe Shetani ashindwe ashindwe kwa jina la yesu (kweli) Yeye na hila zake Pia sheria zake Hata na nguvu zake...
Amka asubuhi tembeeni mchana pia usiku mpumzike Fanyeni kazi zenu na pia mtambue Yupo anayewezesha hayo (kwa kweli) Ni mmoja tu, ni mmoja...
Kakukirimia, uwe ulivyo, Atakutumia impendezavyo Akikuinua, inuka, hivyo, Ninakuombea heri vilivyo; Hakunipa hayo, nikuhitaji, Kwa niliyo...
Usipange foleni kwenye duka la shetani, Utauziwa dhambi faida yake mauti Nenda ukajipange dukani kwa Bwana Yesu, Utapata kibali cha...
Sikia aa sikia Bwana, Sikia aa sikia Bwana sauti yangu Sikia aa sikia leo Sikia aa sikia Bwana sauti yangu. Hii sauti inabeba hisia zangu...
Bwana ninakuita najua unanisikia sala zangu na dua zangu zangu naamini zimekufikia Bwana Usiku na mchana nalia unanisikia, masononeko na...
Asante kwa kila jambo latoka kwako liwe baya, liwe zuri nakushukuru (unaleta mvua, kwa watu wote, mwanga wako unatumulikia wote wema na...
(Mungu mwenye nguvu), uhimidiwe (Munguwa upendo) uhimidiwe kwa tenzi tamu tumwimbie Mungu, kwa nyimbo tamu tumwimbie sifa (Aleluya...
1. Uliamua kuniumba bila malipo hakuna wa kukupangia juu ya uhai wangu kwani Ni wazi hata hapa nilipo ni wewe Bwana uliyefikisha kwa kuwa...
Hufanani nasi, unang'ara na tena una enzi, una utukufu, Umepita zote, sifa tunazokutolea sisi, nao malaika oooh! Walikuimbia, baba zetu...