Mungu ni Pendo
Mungu ni pendo apenda watu mimi nimeonja upendo wake- Yeye ndiye mwenye baraka zote x2 Leo nimeona niende (mimi) nipeleke shukrani...
Welcome to our website you can find all the lesson notes and hymnals you need. Our team of professionals has carefully curated a collection of resources to help you in your spiritual journey. Browse through our selection and find what need to enhance your worship experience.
Mungu ni pendo apenda watu mimi nimeonja upendo wake- Yeye ndiye mwenye baraka zote x2 Leo nimeona niende (mimi) nipeleke shukrani...
Yule Kijana mwana mpotevu, alitamani mali yake yote, na mwisho wake, akapata taabu, alitamani kula na nguruwe x2 Ee mwanangu njoo rudi...
Tumaini letu ni kwa Bwana,Kwa maana ana uwezo wa milele x2 1. Tutamsifu Bwana siku zote-Kwa maana ana uwezo wa milele. 2. ...
Tafuteni kwanza ufalme wa Mbingu, mengine yote mtapewa kwa ziada x 2 1. Tutakula nini, mtapewa kwa ziada Tutakunywa nini, 2. Tutalala...
Simama imara katika imani x2 Usiogope, usiogope, usiogope, tulia katika maombi Do not be afraid, do not be afraid, do not be afraid,stand...
Siku zapita ,Dunia inapita watu nao wapita, neno halitapita x2 1. Hivyo ,jenga msingi wako kwa neno ,kwani vyote vyapita neno ni...
Praise God from whom all blessings flow, praise him all creatures here below, praise him all creatures here below. Praise him above x3,...
Pendo lako yesu limenivutia niwe wako milele x2 1.Yesu wangu nimetambua pendo lako ni tamu, La nivuta nikaacha hayo ya dunia,...
Njoni kwangu, ninyi nyote munaosumbuka x2 Aleluya, aleluya, aleluya x2 Mcheni Bwana, enyi watakatifu wake. Kwa maana wenye kumcha,...
Upendo huvumilia, upendo hauoni mabaya;Upendo hauna wivu, upendo hauchoki x 2 Nijaposema kwa lugha, kushinda malaika (jamani) kama mimi...
Bass: Nena, ee Bwana Wote: Nena, Bwana Bass: 1. Neno lako ni neno la kweli Wote: Nena, Bwana. Neno lako Bwana, linatufariji, nalo ni...
Nimeona maji yakitoka hekaluni upande wa kuume aleluya x2. Na wote waliofikiwa na maji wakaokoka (nao wakasema) msifuni Bwana x2....
Sio kwamba nimekwishafika, au nimekwishakamilika, la, la,(Bali ninakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo limeshikwa naye Kristu...
Naam Bwana wa mavuno, naam Bwana wa mavuno, naitikia wito wako x 2 Mavuno ni mengi walakini / wavunaji ni wachache, Naam Bwana Bwana wa...
Mwanga wake Yesu Kristu, mwanga wake Yesu Kristu, mwanga wake Yesu Kristu, waangaza, nasi tumeona nuru yake tumeona mwanga wake Kristu,...
1. Mpende jirani yako kama nafsi yako, kama Bwana Yesu kweli alivyokupenda we, hii ndio amri kuu aliyotuachia, mpende jirani yako kama...
Mtaenda pote kote kutangaza neno la Mungu x 2 Msije mkaogopa lolote, mimi nipo na mimi nita walinda x 2 Niwaambialo ninyi katika giza...
1. Msifadhaike (msifadhaike) mioyoni mwenu mwaamini, Mungu Baba mbiguni amini amini amnini x2 Nyumbani mwa Baba, mna makao, mkijitahidi,...
Mimi nimewachagua ninyi duniani, Wote:Mimi nimewachagua duniani x 2 Wote: ili mpate kwenda kuzaa matunda, na maunda yenu yaadumu, yaadamu...
Mimi ndimi mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima Tawi- ndani yangu lisilozaa, nitaliondoa na kulitupa x2 Tawi lizaalo...
Bwana akawaambia tena akasema (mimi ndimi njia, ukweli na uzima x 2) mtu haji kwa Baba yangu ila kwa njia yangu mimi, mimi…. Uzima. Mtu...
Enendeni ulimwenguni kote, mkawafanye mataifa yote (alleluia) wawe wanafunzi wangu (alleluia) (Mkiwabatiza kwa jina la Baba, Na pia, la...
(Enendeni ulimwenguni kote alleluia x 2 mkawafanye mataifa yote, kuwa wanafunzi wangu alleluia x 2. 1. Nendeni hubirieni mataifa,...