Furaha
Furaha tutakapofi-ka huko, pamoja na ma-laika, mbinguni kweli furaha. Makao, ya Mungu Baba mbinguni, alipo Yesu Mkombozi, na pia mfalme...
Welcome to our website you can find all the lesson notes and hymnals you need. Our team of professionals has carefully curated a collection of resources to help you in your spiritual journey. Browse through our selection and find what need to enhance your worship experience.
Furaha tutakapofi-ka huko, pamoja na ma-laika, mbinguni kweli furaha. Makao, ya Mungu Baba mbinguni, alipo Yesu Mkombozi, na pia mfalme...
1. Sauti ya Bwana Mwokozi, yatuita twende tumshiriki x 2 (Ee Yesu wangu Ee Mwokozi sauti yako naijua x 2) {Ee Yesu we Bwana, mimi...
1. Dunia hii na vyote vilivyomo, ni mali yake Bwana wa ulimwengu (alitazama akaona ni vyema, aliviumba yeye mwenyewe) x2 Aliviumba...
Bwana wa Mabwana apewe sifa x2 Bwana wa mbiguni apewe sifa x2 Yeye ni Mfalme apewe sifa x2 Yesu Mwokozi apewe sifa x2 Atupenda, atujali,...
Bwana ametamalaki x 2 (dunia ishangilie, kwa furaha na vigelegele x2 Umeme wake, ulianza ulimwengu Mungu Mwenyezi Na watu wote, wameuona...
Bwana ni kinga na ngome yangu Bwana ni mwamba na ngao yangu. (Katika shida nisadie katika tabu uniokoe ni wewe uliye mlinzi wangu x2...
Ee Bwana kazi zako zitakushukuru (wewe) na wacha Mungu wako watakuhimidi x2 Watasema aleluya wataimba nyimbo nzuri, watacheza kwa furaha...
Bwana Mungu anasema, njoo kwangu njoo x2. Njooni kwangu ninyi msumbukao (na kulemewa) {Bwana Mungu anasema nitawapumzisha x2}. 1. Mimi...
Alleluya x 2 milele asifiwe x 2. Tumsifu Bwana Mungu muumbaji wetu. Tumsifu Yesu Kristu Mkombozi wetu. Tumsifu Mungu Roho Mtakatifu....
Nimevipiga vita, nimevipiga vita vilivyo vizuri x2 (mwendo) mwendo nimeumaliza imani nimeilinda ,mwendo nimeumaliza imani nimeilinda x2...
Nimemuona yule ninayemtafuta na neema, zake (nimemuona) leo nimemuona Mungu x 2 (Mikononi mwake) Anauzima tena ni wa milele, Mkononi...
Moyo wangu funguka iye iye iyelelele iye (moyo wangu kunjuka ) moyo wangu funguka x2 Kifuli la moyo legea kidogo ili Bwana Yesu aingie...
Moyo wangu tayari imezimika, siku zangu zimekoma, na kaburi tayari kunipokea njoo Bwana uniokoe Sasa nakuita Bwana, njoo hima hima...
Wewe Bwana umekuwa (ae) makao yetu sisi kizazi baada ya kizazi x2. Kabla haijazaliwa milima (yote) wala haujaiumba dunia (dunia yote) na...
Yes, I shall arise, and return to my Father. To You O Lord, I lift up my soul; In You, O my God, I place all my trust. Look down on me,...
1. Maisha yetu ni mafupi, kweli hapa duniani twaishi tukijihadhari Mwokozi yu karibu kuja.x2 Ee Bwana twaomba tuokoe dhambi zetu ni...
1. Mji wa Yerusalemu umetayarishwa sana, milango kumi na mbili ya watu wa Mungu, imeandikwa majina ya watu wa Mungu, na majina ya...
Solo: Mwenye dhambi unaitwa naye, All: Mkombozi wetu, Solo: Anabisha kwenye moyo wako, All: Mkombozi wetu. Aliteswa msalabani, akafa kwa...
Dunia hii kitu gani kwangu, sioni heri niuchungu tupu. Nayatamani maisha ya mbingu, niishi nawe Yesu wangu mwema. 1a. Ni kwambie nini...
1. Bwana Yesu alitamka mimi ndimi njia ya kweli, Mtu haji kwa Baba yangu ila kwa njia yangu mimi x2 Hebu jiulize, (jiulize) njia gani ...
Kisha nikaona mbingu mpya na Nchi mpya x2. Nikauona mji(mji ule) ule mtakatifu (mtakatifu) Yerusalemu mpya ukishuka toka mbinguni x2 1....
Enendeni kwa amani, mkahubiri mliyo yasikiliza x 2 Msiyageuza mliyoyasikiliza, na kuhubiri kinyume chake Muwe mfano bora kwa moyo na...
Wenye afya hawamuitaji daktari, wanaomwitaji ni waliowagonjwa, (sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi, ili wapate kutubu) x2 Baada...
1. Nimeahidi Yesu, kukutumikia, wewe u Bwana wangu, u rafiki pia, sitaogopa vita, wewe ndiwe mweza, sitaiacha njia, ukiniongoza Imbeni...