Huniongoza Mwokozi
Huniongoza Mwokozi, ndipo nami hufurahi, Niendapo pote napo, ataniongoza papo. Kuongoza hunishika; kwa mkono wa hakika; Nitaandamana naye...
Welcome to our website you can find all the lesson notes and hymnals you need. Our team of professionals has carefully curated a collection of resources to help you in your spiritual journey. Browse through our selection and find what need to enhance your worship experience.
Huniongoza Mwokozi, ndipo nami hufurahi, Niendapo pote napo, ataniongoza papo. Kuongoza hunishika; kwa mkono wa hakika; Nitaandamana naye...
Imeanzishwa hukumu mbinguni; tutasimamaje pale; Apimapo Mungu Hakimu kila wazo na tendo? Tutasimamaje sote katika siku kuu ile? Dhambi...
Tuonanapo na rafiki sote twafurahi, Ila tumepaswa mwishowe kuagana tena. Hatutaagana tena nyumbani mbinguni, Kwenye nchi tamu juu,...
Mchana hauishi Mjini mzuri; Mji hautapita; Na hapana giza. Machozi yatafutwa, Kifo hapana pale; Hawahesabu siku, Na hapana giza. Milango...
Je! Mkinzi ukutani Wa mji wa Zayuni, Habari zake usiku? Asubuhi karibu? Kuna dalili za kupambazuka? Kuna dalili za kupambazuka? Katika...
Furaha gain na ushiriki, Nikimtegemea Yesu tu! Baraka gain, tena amani, Nikimtegemea Yesu tu! Tegemea, salama bila hatari; Tegemea,...
Ewe Roho wa Mbinguni, Maombi sikia! Makao yako yafanye Mioyoni mwetu. Kama nuru, tupenyeze, Giza uondoe; Siri yako tuione, Na amani yako....
Bwana ni Mchunga, Sitahitaji; Majani mabichi malisho yangu. Ananinywesha maji matulivu; Atanirudisha nikipotea. Nipitapo bondeni mwa...
Baba twakujia, Uwe msaada; Uwe kimbilio, twakusihi. Dunia ni giza tukitengwa nawe; Fufariji hapa, Baba yetu. Baba twakujia, tu dhaifu,...
Ati tuonane mtoni? Maji mazuri ya mbingu; Yanatokea mwangani, penye kiti cha Mungu. Naam, tuonane mtoni! Watakatifu, kwenu ni mtoni!...
Anisikiaye, aliye yote, sana litangae, wajue wote, Duniani kote neno wapate, atakaye na aje! Ni ‘atakaye,‘ ni ‘atakaye‘; Pwani hata bara,...
Damu imebubujika, Ni ya Imanweli, Wakioga wenye taka, Husafiwa kweli. Ilimpa kushukuru Mwivi mautini; Nami nisiye udhuru, Yanisafi ndani....
Yesu anasema, ‘Wewe huna nguvu, Kesha ukaombe, Na uje, Mwanagu.‘ Alilipa bei, Nawiwa naye; Dhambi ilitia waa, Aliiondoa. Bwana, nimeona,...
Mungu Msaada wetu tangu miaka yote; Ndiwe tumaini letu la zamani zote. Kivuli cha kiti chako ndiyo ngome yetu, Watosha mkono wako ni...
Siku hii ya Sabato, Tamu kufikiri Juu ya Mungu na Mbingu Kuacha dunia. Tamu kusikia Neno Toka mhubiri Anayefundisha toba, Tupate uzima....
Si mimi, Kristo astahili sifa; Si mimi, Kristo ajulikane; Si mimi, Kristo katika maneno Si mimi, Kristo kwa kila tendo Si mimi, Kristo,...
Raha yangu yote, Bwana, I mbavuni pako; Mimi sina haja tena ila kifo chako. Mwokozi uliyekufa, nawe ndiwe Mungu, Kifo chako ni kwa...
Popote mashamba yajaa tele nafaka pevu, Popote yang`aa meupe bondeni na nyandani. Mwenye mavuno twasihi upeleke wavuni, Wayakusanye...
Piga panda na ya makelele; Yesu yuaja tena! Ipaze sauti, imba sana; Yesu yuaja tena! Anakuja, anakuja; Yesu yuaja tena! Itoe mwangwi sana...
Vitu vyote ni sawa, panapo pendo: Kila sauti tamu, panapo pendo Pana amani pale, na furaha nyumbani, Siku zote salama panapo pendo....
Yesu huita kwa upole mwingi, atwita wewe nami; Moyoni mwetu hungoja, hukesha, Hukungojea wewe. ‘Njoni kwangu, Mliochoka, njoni: Yesu...
Pengine sio milimani Utakaponiita Pengine sio baharini Wala palipo vita; Lakini unaponiita, Na njia siijui. Bwana, nitajibu, ni tayari...
Nipe Biblia nyota ya furaha, wapate nuru wasafirio; Hakuna la kuzuia amani, Kwani Yesu alituokoa. Nipe Biblia neno takatifu, Nuru yako...
Nimekombolewa na Yesu na sasa nimefurahi; Kwa bei ya mauti yake mimi ni mtoto wake. Kombolewa! Nakombolewa na damu; Kombolewa! mimi mwana...