Mtazame Mwokozi
Mtazame Mwokozi, Usoni Mwake mzuri, Mambo ya dunia hugeuka, Usowake tukiuona.
Welcome to our website you can find all the lesson notes and hymnals you need. Our team of professionals has carefully curated a collection of resources to help you in your spiritual journey. Browse through our selection and find what need to enhance your worship experience.
Mtazame Mwokozi, Usoni Mwake mzuri, Mambo ya dunia hugeuka, Usowake tukiuona.
Msingi imara, ninyi wa Bwana, Umewekwa kwenu kwa neno lake. Nini zaidi atasema Bwana, Imaniyenu ipate kuzidi? Wambiwapo vuka maji ya...
Msifu Mungu, Ee watoto wote, Yu pendo, Yu pendo; Msifu, Msifu, Ee watoto wote Mungu ni upendo. Tunampenda, Ee watoto wote, Yu pendo, Yu...
Mrithi ufalme, kwani walala? Karibu wokovu wasinzia? Amka, simama, uvae silaha, Haraka sana, saa zapita. Mrithi ufalme mbona `kawia?...
Bwana ninataka hili, kwa kuwa nimechafuka, Kwa moto au kwa maji unisafishe kabisa. Unisafishe Mwokozi ndani, na nje, kwa moto Utakavyo:...
Mlangoni pa moyo; Mgeni! (Amesimama) Amesimama pale, Mgeni! (Amesimama) Umkaribishe sasa, Umkaribishe Mwana Wa Baba wa upendo: Mgeni!...
Unakaribia wakati wa Kuja kwa Yesu. Atawachukua watu wake Nyumbani juu. Tunaiona mishale ya nuru Inayopenya giza; Tunaiona mishale ya...
Mfalme yu mlangoni, Ndiye aliyetufia; Mara wote wampendao atawakusanya. Yuaja, yuaja, mlangoni anasimama; Anakuja, anakuja, Kuja kwake...
Mchungaji mpenzi hukuita uje Katika zizi lake panapo salama; Akina wanawake, waume vijana, Yesu aliye kweli, huwaita kwake. Huita kwa...
Mali yako sasa, Bwana, tutatoa; Hatuna yaliyo yetu, Yote ni vipaji. Sisi watumishi, Twaungama deni; Tungeirudisha kwake, Iliyo ya Bwana....
Saa heri ya maombi, sasa kwako tunarudi, Sumbuku ya kuondoa, shida zetu na pungufu. Taabuni mara nyingi, roho zetu zimepona, Mashaka...
Kwa heri, Mungu awalinde; Kwa heri, na awaongoze; Kwa heri, na kuwapa amani, Bwana awabariki.
Kuwa wake Yesu, Je! Ni kusudi lako? Ungeenda naye njia nyembamba? Unataka aubebe mzigo wako? Awe Mwongozi wako. Uwezo wake unakutosha Na...
Yesu Mwokozi, kwa hakika, Hunipa furaha na amani; Mrithi wa wokovu wake, Natakaswa kwa damu yake. Habari hiyo wimbo wangu, Daima...
Kumekucha kwa uzuri. Nafumbua macho; Baba amenihifadhi, Ni wake moto. Bwana niwe leo kutwa Ulinzini mwako; Nisamehe dhambi, niwe Mikononi...
Kristo wa neema zote imbisha moyo wangu Mifulizo ya Baraka inaamsha shangwe kuu. Unifunze nikupende, nikuandame kote, Moyo wangu...
Kesha roho yangu, adui maelfu Hujaribu kuangusha, kuvuta dhambini. Ukeshe, uombe, ili ushindwe; Fanya vita kila siku, omba msaada....
Nilinawa mikono safi asubuhi, Itende kazi kutwa kwa Yesu, Yesu Mwokozi. Kaza sana macho njiani kote, Utende kwa Yesu kazi njema tu....
Karibu sana univute, karibu sana daima niwe. Bwana napenda unishike, Unilinde nisitengwe nawe, Unilinde nisitengwe nawe. Karibu sana,...
Kaa nami, ni usiku tena; Usiniache gizani, Bwana; Msaada wako haukomi; Nili peke yangu kaa nami. Siku zetu hazikawi kwisha; Sioni la...
Sitafuti mali, wala utajiri; Nataka kwa yakini nipate Mwokozi. Chuoni mwa Ufalme, niambie Yesu, Jina langu yakini limeandikwa, je?...
Jina la Yesu, salamu! Lisujidieni, Ninyi mbinguni, hukumu, Na enzi mpeni Ninyi mbinguni, hukumu, Na enzi mpeni Enzi na apewe kwenu,...
Sauti zote ziimbe, jina la Yesu li heri ! Sifa za mfalme Mungu, jina la Yesu li heri ! Jina li heri, jina li heri, jina la Yesu li heri....
Ikumbuke kote Sabato ya Bwana, Siku tamu na bora, kupita nyingine; Yatuletea raha, na furaha kweli, Mwanga wake hungaza, urembo wa Yesu....