Ngoja Nicheze
Tazama mimi ninavyopumua, Tazama mimi nilivyo na nguvu Tazama mimi ninavyopumua, Tazama mimi nilivyo na nguvu Hizo zote - ni neema bure...
Welcome to our website you can find all the lesson notes and hymnals you need. Our team of professionals has carefully curated a collection of resources to help you in your spiritual journey. Browse through our selection and find what need to enhance your worship experience.
Tazama mimi ninavyopumua, Tazama mimi nilivyo na nguvu Tazama mimi ninavyopumua, Tazama mimi nilivyo na nguvu Hizo zote - ni neema bure...
Nimetafakari habari zako nami nashindwa kuelewa kabisa Binadamu angenipa neema kesho angechoka kunipa zaidi Lakini wewe hauna kikomo,...
Sikia aa sikia Bwana, Sikia aa sikia Bwana sauti yangu Sikia aa sikia leo Sikia aa sikia Bwana sauti yangu. Hii sauti inabeba hisia zangu...
Nipishe njia nipeni nafasi- Nimuonyeshe Mungu nilivyofurahi nitamwimbia ngoma nitacheza- Nimuonyeshe Mungu nilivyofurahi Natamani kuruka,...
Zimetiririka zimetiririka, Zimetiririka neema za Mungu Zimetiririka, neema zimetiririka, neema zimetiririka wote tumeinuliwa aleluya x2...
Neema amenipa Baraka anashusha maombi na sala zangu zimemfikia na leo Ameitika Mungu amenijibu maombi ameisikia sauti nilipomuita Bwana...
Njoni tucheze mbele zake Bwana kwa mapendo;njoni tutoe shukurani zetu siku zote Njoni wazee hata na vijana na watoto;njoni wamama nanyi...
Haya tazameni ninyi wenyewe Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote. Haya magumu yasiyofanyika Mungu wangu mwenye nguvu amentenda yote...
Nitamsifu Mungu wa mbinguni aliyeniumba Ananipenda tena anilinda kati ya mabaya x2 Alinipenda kuliko vyote akaniumba kwa mfano wake uhai...
Ee Mungu wangu nakushukuru umenitendea mema mengi Bwana Asante, asante, Mungu wangu nashukuru x2 Mungu wangu ninakushukuru kwa upendo na...
Kongoi mising Cheptalel kwandanyo (Kongoi mising (haiya haiya) kongoi missing kiptayanyo) x2 (Kongoi we kongoi cheptalel (kongoi) Kongoi...
Enyi viumbe vyote- Twendeni mbele zake Bwana Kwa moyo wa shukrani-Twendeni mbele zake Bwana Twakushukuru- Ee Yesu twakushukuru sana x2...
Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu hee heee Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu hee hee } *2 { Utukufu nakupa wewe, utukufu nakupa wewe,...
Ee Mungu Mungu wangu (moyo) Moyo wangu u thabiti (thabiti) Nitaimba nitaimba, nitaimba zaburi (Amka kinanda ewe kinanda - amka ewe...
Nani ni nani, ni nani ni nani, ni nani ni nani, nani kama Mungu Mwenye uwezo, na mwenye ukuu ni nani ni nani nani kama Mungu 1....
1. Mimina, kama vile zilivyojaa juu, mimina ziteremshe tuzipokee, Bwana Mimina neema zako, mimina, kati yetu, mimina neema tele, mimina,...