Zisikizeni Nyimbo
Zisikizeni nyimbo(tamu) toka Bethlehemu, leo kazaliwa Masihi wetu Yesu, sauti hizo nzuri (sana) ni za malaika wanaotangaza kuzaliwa kwa...
Welcome to our website you can find all the lesson notes and hymnals you need. Our team of professionals has carefully curated a collection of resources to help you in your spiritual journey. Browse through our selection and find what need to enhance your worship experience.
Zisikizeni nyimbo(tamu) toka Bethlehemu, leo kazaliwa Masihi wetu Yesu, sauti hizo nzuri (sana) ni za malaika wanaotangaza kuzaliwa kwa...
(Tukunguire, tukuire muthenya uyu, Wa uhonokia witu, Hae, hae, hae, hae, haiya. Hae haiya.) x2 Cangaruruka, cangaruruka na ukenuke,...
Sasa yametimia yaliyotabiriwa, Mwokozi kazaliwa. Sote tufurahi Habari ni njema Njoni, nyote, wahi ...
Tulioana nyota yake (nasi) tukakuja kusujudia Bwana x2 Mamajusi wa kule mashariki walikuja kumsujudia Bwana. Walipofika kule Bethlehemu...
Nyota ya mashariki ya waongozoa mamajusi, ikatuwa juu kwenye hori la kulia ngombe, Amezawa Mwokozi Yesu, Yule aliyetabiriwa zamani na...
Njoni wapenzi tufanye shangweMwokozi Bwana amezaliwa Viumbe vyote tufanye shangwe Mwokozi Bwana amezaliwa Natufanye shangwe, twimbe...
Kwa ajili yetu sisi Mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto naye ni mtoto mwanaume. 1. Naye ataitwa jina mshauri wa ajabu – Mungu mwenye...
Mjini Bethlehemu katika hori amezaliwa Mwana wa Mungu, amezaliwa Mwokozi wetu. Kazaliwa manyasini katika hori, Mwana wa Mungu Mesiya...
Mbali kule nasikia malaika wa mbinguni wakiimba wengi pia wimbo huo juu angani: Wachunga tuambieni sababu ya nyimbo hizo: mwenye kuimbiwa...
1. Masihi amezaliwa wapi, hao ni mamajusi, kwani sisi tumetoka mbali, nyota tumeiona x2 Na wewe mji wa Daudi ambaye u mdogo sana, Masihi...
Leo Yesu kazaliwa - Wakristu twashangilia Habari njema kwa wakristu- Kokote wanashangilia Amezaliwa Mkombozi– Atuokoe dhambini,...
(Leo ni furaha Bwana Yesu amezaliwa, katika mji wa Bethlehemu) x2 1. Tazama Malaika yule wa Bwana, kazileta habari kwa wachungaji,...
Kelele za shangwe leo jamani zipalizwe, Mfalme wa mbingu na dunia kazawa x2 1. Malaika wa mbingu, wamshangilia Mwana, Mkombozi wa...
1. Kazaliwa Bwana wetu Yesu x4 Wachungaji wamekuja kumwona huyo motto napia kumsujudia, (na pia kumsujudia) aachungaji wamekuja kumuona...
Jongeeni wakristu, furahini sana, jongeeni, jongeeni kwa Bethlehem. Mfalme wa mbingu kaja duniaani Jongeeni tumwabudu, jongeeni...
Isaya ne okoro kowacho niya kuomwa nyathi nonyuol (Unison) Nyathi mawuoyi noluonge hono,jabura. Nyasaye majateko, wuonwa Emmanuel x2...
Haya twendeni wote kule Bethelehemu tukamwone tukamwone (wote) Mkombozi Yesu x2 1. Amelazwa nyasini(wote) huyo mtoto Yesu Mkiwa na...
1. Furaha kwa ulimwengu, Bwana amekuja kila moyo umpokee. Kila moyo umpokee- viumbe imbeni x2 viumbe viumbe vyote imbeni. 2. Na Bwana...
Enyi watu wote pigeni makofi x2) mpigieni Bwana Mungu wetu, mshangilieni kwa vigelegele*2. 1. Enyi watu pigeni makofi mpigieni...
Chereko chekero chereko, chereko vifijo (pia na) nderemo Bwana amezaliwa aleluya x2. Eiyeiyeiyeiye Mwokozi wetu kazaliwa aleluya, (e...
Bwana Yesu kazaliwa, tumwimbie kwa furaha aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, aleluya. 1. Kwa ajili yetu sisi / amezaliwa...
1. Amezaliwa Yesu – Tuimbe Aleluya Ni mwana wake Mungu-tumbe Aleluya Aleluya Mwokozi wa dunia Aleluya Kashuka kwetu sisi Amezaliwa Yesu ...
Aleluya tuimbe (Bwana amezaliwa) kazaliwa naye bikira mwema. Aleluya Bwana kazaliwa kweli tuimbe Aleluya. x2 1. Mwokozi kazaliwa kwenye...
Tu Wafalme, tumeleta toka mbali tunu zetu, milimani mabondeni nyota twafuata Nyota hio ya ajabu nyota hio yenye nuru- Itulete Bethlehem...