Sifuni Sifuni
Sifuni sifuni Upendo wake Mungu pazeni, pazeni enyi wa ulimwengu Sifa zake bwan zifike kwa jirani hii ndiyo amani kwa wote duniani...
Welcome to our website you can find all the lesson notes and hymnals you need. Our team of professionals has carefully curated a collection of resources to help you in your spiritual journey. Browse through our selection and find what need to enhance your worship experience.
Sifuni sifuni Upendo wake Mungu pazeni, pazeni enyi wa ulimwengu Sifa zake bwan zifike kwa jirani hii ndiyo amani kwa wote duniani...
Bwana Yesu kazaliwa tuimbe aleluya x2 Bwana Yesu kazaliwa tuimbe aleluya x2 Amezaliwa (chah!) pangoni Bethlehemu (chah!) Ndiye Mwokozi...
Masiya amezaliwa wapi - hao ni mamajuzi Kwani sisi tumetoka mbali - nyota tumeiona Ni wewe mji wa Daudi ambao u mdogo sana Masiya...
Aleluya kazaliwa Mkombozi Yesu Kristu Aleluya kazaliwa Mkombozi wa dunia, aleluya (Aleluya aleluya aleluya aleluya Aleluya aleluya...
Tawi limechipuka shinani mwa Yesu Kama tulivyopashwa habari na wazee Likatoa ua, wakati wa usiku, lililochanua Isaya alitaja ua hilo zuri...
Avai vali vali nivalinda chayo chavo muvudiku Valola uvulavu, vulavu vunene mno Vamanya nivaitia ligali, engelosi yaloleka kuvo Valola...
Uno wai wathani munene wa tene, Ila mwathani Isaia wathanie (Kwa mwiitu mutheu musyaa musumbi) x2 Nake aketwa--Emanueli Ula munene--wa...
Tumepewa Mtoto Tumepewa mtoto mwanaume x2 Na uwezo wa kifalme utakuwa begani mwake x2 Naye ataitwa jina lake Mshauri wa ajabu, Mungu...
Tufurahi Mkombozi leo kazaliwa Tumwimbie aleluya Mkombozi wetu Na tufanye shangwe tumshangilie Tumwimbie aleluya Mkombozi wetu Dunia yote...
Ni nani amezaliwa, ni Yesu amezaliwa Mwokozi amezaliwa, Siku ya leo Krismasi Tushangilie, amezaliwa siku ya leo Krismasi Tushangilie,...
Amka kinanda ngoma na zeze, zeze tulipige Ngoma na tucheze, Mwokozi amezaliwa x2 Mji wote ni furaha chereko na vifijo, Nao malaika...
Leo tumepata mfalme, Leo tumepata mfalme, ndiye mtoto Yesu x2 (Utukufu juu mbinguni, na amani duniani (kote) Kwa watu wenye mapenzi wenye...
Furahini katika mji wa Daudi amezaliwa mtoto x2 Tumepewa mtoto mwanaume mwenye ufalme mabegani pake enyi mataifa njooni tufurahi...
Amezaliwa Masiha wetu, hoyee hoye hoye Mwana wa Mungu mkombozi wetu, hoyee hoye hoye Leo kazaliwa naye Maria na amelazwa kwenye hori la...
As each happy Christmas Dawns on earth again, Comes the holy Christ Child To the hearts of men. Enters with His blessing Into every home,...
1. Furaha kwa ulimwengu! Bwana amekuja; Nyote mkaribisheni, Mioyo yenu na mpeni; (Wote wamshangilie)x2 Na wote, na wote wamshangilie. 2....
1.Usiku mtakatifu! Wengine walala Wakeshao ni Yosefu tu na Maria waliomlinda Yesu mwana mzuri x2 2. Usiku mtakatifu! Wachunga wapewa...
Hosana, hosana, hosanna, hosana mbinguni, Hosana, hosana, hosanna Kristu Mfalme x2 S/A Walimsifu hosanna Hosana...
Yesu Kristu amezaliwa kwenye mji, mji wa Daudi Yesu kazaliwa kwa mji, mji wa Daudi nuru(nuru) nuru(nuru) nuru (ametuangazia leo) (mwanga...
Tuliiona nyota upande wa mashariki (nasi) tumekuja kumsujudia Bwana x2 Yesu alipozaliwa kule Bethlehemu mamajusi walifika na kusema....
Tumepata Mwana (Ee wote) tumepata mtoto (Ee wote) sote twimbe aleluya aleluya ahh (wote) x2 Amezaliwa Mwokozi Yesu, Mwana wake Mungu Baba...
Tushangilie leo sote (sote) tuimbe kwa furaha, amezaliwa Kristu. Amezaliwa Kristu (Kristu) (Basi na twende tumsujudu Mwokozi wa dunia...
Yesu mwana wa Mungu x2, leo amezaliwa. Piga vigelegele x2, leo amezaliwa Agano latimia / Mwokozi kazaliwa. Yesu, Mwana wa Mungu / kweli...
1. Wachunga twende Bethlehemu tukamwonenei Yesu Kristu x2 Nifuraha Nifuraha Nifuraha Nifuraha Yesu Kristu kazaliwa. 2. Mamajusi watoka...