Salamu Mama
Salamu mama bikira mwema mama Maria (mama wa Mungu) salamu mama chombo bora cha ibada, uliyejaa neema nyingi twakusalimu (mama ‘kanisa)...
Welcome to our website you can find all the lesson notes and hymnals you need. Our team of professionals has carefully curated a collection of resources to help you in your spiritual journey. Browse through our selection and find what need to enhance your worship experience.
Salamu mama bikira mwema mama Maria (mama wa Mungu) salamu mama chombo bora cha ibada, uliyejaa neema nyingi twakusalimu (mama ‘kanisa)...
Bikira Maria mama wa Mungu, mama mwenye huruma mwingi wa neema, Utuombee kwa mwanao Yesu x2 Sala zako ee mama zatutia nguvu kwenye safari...
Salamu Maria salamu, Salamu Bikira - mama Maria, Mama wa mkombozi - mama Maria umejaa neema nyingi Utusaidie ee Mama, tuweze kufika kwako...
Tufurahi sote katika Bwana, Tunapoadhimisha siku kuu Kwa heshima ya bikira Maria) x2 Malaika wanafurahia kupalizwa kwake mbinguni Na...
Mama Maria Mwombezi wetu, mama wa neema na hu-ruma Tusikilize Mama wa Yesu, tusikilize wakosefu Twakuomba Mama Maria, kwa Mwanao Mama...
Una heri una heri Mama Bikira Maria x2 Mama wa mwokozi, Maria, Mama Bikira Mtakatifu, Mama bora mwenye huruma, 'takuheshimu siku zote...
Maria Mwombezi, sisi wana wako Katika shida zote, tuwie kinga yetu Maria, twakuomba sana, tupe neema zako Tuyashinde magumu, tufike kwa...
Nitaimba kwa furaha, na kucheza kwa maringo Nikitaja na kusifu jina lako Maria x2 Jina lako takatifu, nitaliimba kwa shangwe Jina lako...
Twakukimbilia Maria, mama Bikira mwenye huruma Tutie nguvu ya safari, tufike kwa mwanao Yesu Kristu Angaza njia Mama Maria, Tufike makao...
Asante Mama wa Yesu, asante sana Mama Maria Uliye muombezi wetu, sisi wanao wa dunia Baraka za mwana wako, tunazipata kweli Maria Yote ni...
Nakupenda Maria Mama uliye bora , Furaha yangu Maria nikae nawe daima, Nipate neema zako nifike juu mbinguni) x2 Mama mwema Mariaunikinge...
Njoo Masiha tunakungoja, njoo njoo utuokoe *2 Njoo Bwana njoo njoo tuokoe, Tusiangamie katika giza la dhambi Udhaifu wetu watuelemea,...
Tupokee Mama Maria, tuongoze Mama Maria, Tufikishe kwa mwanao Mbinguni Mama yetu mwema Maria Sisi wanao twakukimbilia Utusaidie kwa...
Bara na bahari furahini sana- Tumemulikwa na nuru ya Mbinguni, bara na bahari furahini sana- Tumemulikwa na nuru ya Mbinguni Pendo lako...
Kwa ujasiri kwa sauti kubwa, nazitangaza sifa za mama (Maria) Nawauliza wakubwa wadogo, ni nani kama mama (Maria) Kwa sifo tele kwa...
Nahangaika hapa duniani, maisha yangu hayana furaha Najua wazi hapa si nyumbani, bali njia ya kupita Niongoze vyema Maria, maria Mwema,...
Mama Maria tuambie, uliona nini njiani Nanyi mitume tueleze mliyemkuta pangoni (kweli) Ni malaika, toka mbinguni Tulimwona pale kaburini)...
Pamoja na malaika, Mariamu mama yetu Kuimba sifazo twataka, zipende nyimbo zetu Maria ee zipokee hizo zako heshima Twakuimba, twakuomba,...
1. As I kneel before you, As I bow my head in prayer, Take this day, make it yours and fill me with our love. Ave Maria, Gratia plena,...
Enyi waumini karibuni Kwenye mwezi wa mama yetu Maria mwezi wenye neema nyingi ni mwezi wa mama yetu bikira Maria Ni mwezi ulio na neema...
1. Maria mama wa mungu tena mama yetu Sisi Wana wa dunia tunakuja kwako twakuja na nyimbo zetu nazo Ngoma zetu twakuchezea twakuimbia...
Hatari ikaja nikageuka mbio kumlilia - Nikaita mama naye akaitika mwanangu ee, Akaifungua mikono yake myema kanidaka - Nikaita mama naye...
Tazameni nyota ya asubuhi, inang'aa hakika yapendeza ×2 nyota hiyo ni Mama Maria; njooni nyote tumshangilie Mama ×2 Yeye ndiye bikira...
Ewe mama Maria, mama yetu mwema, Mama wa Mungu Sisi wanao leo, tunakusalimu, salamu Mama 1. Ee mama yetu mwema, mama yetu Maria, Sisi...