Ee Baba Pokea
Ee Baba pokea zawadi tunaleta x 2 Upokee Baba hizo zawadi tunazileta kwako Muumba x 2 Pokea Ee Baba zawadi, ya mkate divai pokea,...
Welcome to our website you can find all the lesson notes and hymnals you need. Our team of professionals has carefully curated a collection of resources to help you in your spiritual journey. Browse through our selection and find what need to enhance your worship experience.
Ee Baba pokea zawadi tunaleta x 2 Upokee Baba hizo zawadi tunazileta kwako Muumba x 2 Pokea Ee Baba zawadi, ya mkate divai pokea,...
Ee Baba pokea sadaka yetu tunakutolea, hiyo ni kazi ya mikono yetu wanadamu x 2 Twakuomba Uipokee (pokea) Ee Bwana Uibariki (bariki)...
Bwana naileta, naileta sadaka kwako (ninaleta) ninaleta sadaka yangu niliyo andaa x2 sio kwamba naileta ili wanitazame wenzangu (si hivyo)...
Ee Bwana wangu na mimi nikupe nini, nina zawadi kidogo ee Bwana wangu, pokea zawadi x 2. Ee Bwana wangu na mimi nikupe nini, nina zawadi...
Baba tunaleta x3 yote ni mali yako, Baba tunaleta yote mali yako x2 1. Baba tunaleta pumzi zetu mali yako. 2. Baba tunaleta vijana mali...
Ewe Mungu Baba twaja mbele yako-kwa huruma na upole, tukinyenyekea Mungu (Baba) tupokee.tukijuta dhambi Mungu Baba tupokee. x2 1. Tuna...
Baba pokea leo sadaka yetu, japo kidogo Baba uipokee x 2 Twakutolea Baba sadaka yetu leo ikupendeze Baba na uibariki x2 1. Mkate na divai...
Twaleta kwa moyo, moyo mkunjufu twaomba Baraka twaomba uzima x2 Baba pokea vyote x2 twavileta kwako, twajitolea kwako x2 twaja mbele zako...
Pokea Baba Sadaka zetu twakutolea kwa moyo safi (Tunakutolea Baba (Baba) uzipokee) x 2 Mkate wetu ee Bwana, tunakutolea, ni mazao ya...
Simameni waumini wote tupeleke vipaji vyetu vyote kwake Muumba kwani mali yake x2 Baba (tumebeba mali yetu tunaleta kwa furaha twakuomba...
Nyanyukeni wote tupeleke (kwake Mungu) yale ametupa kama mazao yetu, kwa shangwe kubwa twende bila kusita tukampe yote aliyotubarikia....
Tumesisimka (kweli) tunakuja kwako ee Baba, Tumeandama (sote) tunaleta zawadi zetu, waumini wote simameni twende pamoja, tupeleke fedha...
Nakuja kwako mbiombio nakuja kwako Mungu wangu Nilicho nacho mikononi ninakileta mbele zako (Pokea Baba sehemu ya mapato niliojaliwa...
Naondoka mimi naenda kwa Baba, Nipeleke hiki nilichokipata, Japo kidogo, sitaona haya, Nimeamua, sitarudi nyuma Natembea mimi mwendo wa...
Nainuka (Mimi) ninakwenda kwa Bwana (leo) napeleka(kile) alichonijalia, Mikononi (mwangu) nimebeba talanta (kweli) narudisha (ili)...
1. Baba tunaleta vipaji twakuomba sana pokea - Baba tunaleta twakuomba sana pokea Twaja kukushukuru kwa yote ulotujalia wanao - Baba...
Sadaka tunaleta Bwana upokee sadaka Wanao twakuomba Bwana upokee sadaka Ero ero ero ero twaleta vipaji Ero ero ero ero ee Baba uvipokee...
Hima hima leo, najongea kwako Bwana, Ninakuja kwako kwa unyenyekevu wangu, Nakuletea matunda ya jasho langu, Pokea Baba nami unipe...
Tazama Bwana tunakuja kwako (leo) twaleta sadaka zetu mbele yako, tunakuombaMungu Baba pokea x2 Kwa nguvu zako uliweza kustawisha mazao...
1. Kama yule mmoja kati ya wale kumi aliyerudi kusema sante. Ndio maana leo na mimi nimerudi, kumwambia Baba asante nashukuru. Kama mmoja...
Ngai nîarîtûrathimaga, rathime mawira maitu (mawîra maitû) Arathimemîgûnda itû twamûtegera na wendo (Ngai witû) x2 1. Niegûtûhe kîrîa...
(Mungu tunaleta aiya aiaya oo vipaji vyetu aiya aiya) X2 11. Uvibariki aiya aiya pia uvitakase aiya aiya oo Ni kazi zetu aiya aiya kazi...
Tunakuja na vipaji vyetu, mbele zako ee Bwana, tunatoa shukurani zetu, kwako Baba Muumba x2 Ni matunda ya mashamba yetu, uliyotujalia,...