Hiki ni Chakula cha Mbingu
Hiki ni chakula cha mbingu (b: hakika), mkate safi wa wapendao (na pia), kweli ni uzima wa roho x2 1. Yesu shibisha roho yangu, Bwana...
Welcome to our website you can find all the lesson notes and hymnals you need. Our team of professionals has carefully curated a collection of resources to help you in your spiritual journey. Browse through our selection and find what need to enhance your worship experience.
Hiki ni chakula cha mbingu (b: hakika), mkate safi wa wapendao (na pia), kweli ni uzima wa roho x2 1. Yesu shibisha roho yangu, Bwana...
Twendeni wote kwa Bwana, atualika karamuni, Tukale mkate wa mbingu. Yeye mwenyewe ni Mungu,Na pia ni mwanadamu, jamani. Yeye ni mkate...
Asante Yesu kutulisha mwili wako, asante Yesu kutunywesha damu yako, Umetulisha kwa mwili, umetunywesha kwa damu, asante Yesu katika...
Hiki ni chakula kilichoshuka kutoka mbinguni, asema Bwana x2 Alaye chakula hikiataishi milele Alaye Chakula hiki ataishi milele na milele...
Karamu ya Bwana Yesu imekwisha andaliwa atualika Mwokozi twendeni tukampokee mwili na damu ya Yesu ni Ekaristi takatifu karibu Mwokozi...
Yumo humu, Mwokozi Yesu, Kwenye mzabibu, na ngano tamu Ni mpole ni mwema ni uzima Ekaristi ni jina lake, pamoja nasi, Mungu mwenyewe,...
Kawachamo ringer Yesu, Miyo wanyono piny motegno, maotegno. Kawamadho remb ruoth Yesu, Miyo wanyono piny motegno maotegno x2 Wagueyo ura...
Twendeni mezani tukale chakula, tumeandaliwa chakula cha mbingu x2 Mwili wake Bwana chakula cha mbingu- tumeandaliwa chakula cha mbingu...
Nina Yesu moyoni mwangu, mimi nina Yesu moyoni mwangu; Nimeupata ukombozi nina uzima wa milele x2 Maisha yangu nakutolea, uzima wangu...
Ni mazao ya mashamba nazo fedha za mifuko ni mkate na divai tunaleta kwako Baba x2 Nikikumbuka pendo lako ee Yesu wangu (kweli) machozi...
Yesu mwema najitolea kwako Kwa leo hii na siku zote Nafsi yangu na moyo wangu wote Heri kweli, heri kweli Heri kweli raha ya uwingu x2...
Yesu mkombozi mwana wa Maria, Tunakusalimu x2 Yesu mkombozi, chakula cha roho Yesu mkombozi, mchungaji wa watu Yesu mkombozi, umoja wa...
Twendeni wote kwa Bwana, atualika karamuni, tukale mkate wa mbingu. Yeye mwenyewe ni Mungu, Na pia ni mwanadamu, jamani. Yeye ni mkate...
Soul of my Savior sanctify my breast, body of Christ, be thou my saving guest, Blood of my Savior, bathe me in thy tide, wash me with...
There’s not a friend like the Lord sweet Jesus, no not one, no not one, none else could heal all our soul’s diseases, no not one, no not...
Ninakupenda ewe Mwokozi wangu, rafiki yangu mpenzi wa moyo wangu, Ukae nami daima ndani yangu, nipate nguvu na heri siku zote. Nina...
Ngukinyukia o kahora, njerekeire o matuini no ninjui ningakinya (ngahuruke na Mwathani) x2 Ni wega Ngai mundongoria, nake Jesu ni mugate...
Lord am not worthy to receive you, but only say a word and I shall be healed x2 You are the bread from heaven -My Lord and my God. You...
Kuleni mwili wangu, kunyweni damu yangu mtaishi milele asema Bwana x2 Mimi ndimi chakula, chakula cha uwingu - asema Bwana Mimi ndiye...